Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ajabu Pete ya Uchumba yagoma kutoka kidoleni kwa binti, “Mume ni Mpemba”
Share
Notification Show More
Latest News
Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
January 28, 2023
Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu
January 28, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Ajabu Pete ya Uchumba yagoma kutoka kidoleni kwa binti, “Mume ni Mpemba”
Top Stories

Ajabu Pete ya Uchumba yagoma kutoka kidoleni kwa binti, “Mume ni Mpemba”

January 17, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Binti mwenye umri wa miaka 20 anayefahamika kwa jina la Matha mkazi wa Uswahilini Mkoani Arusha ambayee alivalishwa pete na mpenzi wake kwa lengo la kumuoa imezua gumzo baada ya pete hiyo kugoma kutoka kwenye kidole kwa zaidi ya siku tatu pale alipokuwa akitaka kuitoa baada ya kugombana na mpenzi wake nakuachana naye siku mbili zilizopita

Martha amesema allivalishwa pete hiyo miezi miwili iliyopita na ndani ya siku tatu alikuwa akitaka kuitoa pete hiyo lakini ilishindikana ambapo mpenzi wake alimuambia kwamba asiitoe

baada ya kufika katika soko la Samunge Arusha ilichukua zaidi ya saa tatu bila kutoka ambapo baadaye ilitolewa na kijana aliyefanya maombi nakuiondoa kwenye kidole hicho.

You Might Also Like

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

Edwin TZA January 17, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mahakama imemuhukumu kunyongwa hadi kufa, kukutwa na hatiani kosa la kumuua mkewe
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 18, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Basata wafika kwenye msiba wa H Mbizo Morogoro, ‘Mazishi ni Dar’
Entertainment January 28, 2023
The After Party ya Marioo kufanyika Elements Bar Masaki DSM Usiku wa leo
Entertainment January 28, 2023
Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro
Top Stories January 28, 2023
Uamuzi wa Baraza la Mashekhe Mkoa kuhusu Ndoa ya Dr Mwaka na Queen Masanja
Top Stories January 28, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Katibu Mkuu wa CCM amewasili Wilayani Gairo Mkoani Morogoro

January 28, 2023
Top Stories

Ukatili wa Wanafunzi shuleni, “Maafisa Elimu wapewa rungu”, washughulikieni Walimu

January 28, 2023
Top Stories

Tazama Shaka alivyokula kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa “Sitotoa siri”

January 27, 2023
Top Stories

Mapya ndoa ya Dr Mwaka haijavunjwa, tamko kali latolewa na baraza la Ulamaa

January 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?