Top Stories

Ajali Mbagala, watu waiba cement, shuhuda asimulia (video+)

on

Ni Octoba 4, 2021 ambapo imetokea Ajali ya Lori lililoacha njia likagonga daladala na kisha nyumba iliyokua pembezoni Mbagala Dar es Salaam.

Wananchi waliopo eneo hilo walionekana wakichukua cement iliyokua kwenye lori hilo na kuondoka .

Mashuhuda wasimulia tukio lilivyotokea.

TAZAMA KAMANDA ALIEMPINDUA RAIS CONDE, AKIAPISHWA KUWA RAIS WA TAIFA HILO

Tupia Comments