Top Stories

Ajali Mlimani City, bodaboda yagonganisha magari matatu yaingia mtaroni (+video)

on

Taharuki imeibuka maeneo ya Survey Mlimani City jijini DSM baada ya kutokea ajali iliyohusisha Pikipiki maarufu kama ‘Bodaboda’ na magari matatu ambayo yameingia mtaroni.

AyoTV na millardayo.com imezungumza na mashuhuda na majeruhi katika eneo hilo ambapo wamedai kuwa uzembe umesababishwa na mmiliki wa gari aina ya Rava 4 aliyekuwa akitokea Chuo Kikuu Dar es Salaam kuelekea Mjini.

“Gari aina ya Rava 4 ilikuwa katika speed ikamgonga Bodaboda na katika kuyumba ikagonga gari zilizopaki zikaingia mtaroni na kusababisha taharuki katika eneo la Survey,” amesema shuhuda.

RAIS MAGUFULI AWAVAA WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR AWAPA ONYO KALI, AELEZA SABABU ZA YEYE KUGOMBEA

Soma na hizi

Tupia Comments