Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene ameagiza kukamatwa na kuwekwa ndani Mkandarasi wa Kampuni ya Nangonga, Mohammed Nagonga na vibarua wake baada ya kushindwa kusimamia ukarabati wa Barabara Kuu ya Dodoma Morogoro katika eneo la Ihumwa hali iliyopelekea watu watatu kupoteza maisha.
WAGONJWA WAPYA WA CORONA SITA (6) WATANGAZWA ZANZIBAR