Top Stories

Ajali ya treni mtoto afariki

on

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa kuwa Treni ya abiria yenye injini namba 9022 imepata ajali majira ya saa 10 Alfajiri kati ya Mkalamo na Mvave Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga January 16,2022 ikiwa inatokea Arusha kuelekea DSM “Mtoto mwenye umri wa miaka 7 amefariki”

Soma na hizi

Tupia Comments