Matukio ya ajali za barabarani bado yanazidi kuripotiwa na hii imetokea asubuhi ya leo ikihusisha basi la Hood lililokuwa likitokea Arusha kwenda Mbeya kupata ajali na kupinduka eneo la Same,mpaka sasa taarifa rasmi haijatoka ya jumla ya majeruhi na watu waliopoteza maisha.
Taarifa zaidi itafuata ikiwemo kujua chanzo cha ajali hiyo,endelea kuwa karibu na familia ya millardayo.com kupitia Facebook.com,Instagram.com na Twitter.com/millardayo.