Mix

Picha ya ajali ya basi la Dar Express May 9 2014

on

Screen Shot 2014-05-09 at 6.19.50 PMNi abiria zaidi ya 50 walionusurika kwenye hii ajali ya basi la Dar Express lililokua likitokea Dar es salaam kwenda Nairobi leo May 9 2014 ambapo lilipofika Msata karibu na daraja la Wami lilipata ajali baada ya kupasuka tairi la mbele kushoto na kisha kupinduka.

Kaa karibu yangu twitter kwa kubonyeza HAPA ili kila kinachonifikia nikutumie na ukisome kiurahisi.

 

Tupia Comments