Top Stories

Ajali:Mwendokasi na bodaboda , mashuhuda wafunguka “Wamefariki papohapo”

on

Mashuhuda wa tukio la ajali iliyohusisha basi la Mwendo wa Haraka maarufu Mwendokasi na Bodaboda katika makutano ya barabara maeneo ya Lumumba Dar es Salaam wamesema watu wawili wamefariki dunia katika tukio hilo la Ajali.

HATARI: TRENI INAYOPITA KATIKATI YA SOKO, WATU WANAONDOA BIASHARA ZAO, INAPIGA HONI WATU WANAPISHA

HALI ILIVYOKUWA GUINEA BAADA YA RAIS KUPINDULIWA “JESHI LASHIKILIA NCHI, ULINZI MKALI KILA KONA”

Soma na hizi

Tupia Comments