Mix

Picha 11 za ajali iliyotokea Mchana wa March 21 kwenye kituo cha mabasi Ubungo

By

on

IMG-20140321-WA0002Hii ni ajali iliyotokea mchana wa March 21 nje ya gheti la kutokea kituo cha mabasi yaendayo mikoani[Ubungo Bus Terminal]na  imehusisha lori lililofeli breki na kwenda kugonga magari 5,mpaka sasa idadi kamili ya majeruhi na watu waliopoteza maisha haijapatikana.

Jeshi la Polisi tayari wameshaanza kuchukua hatua za awali ikiwa ni pamoja na kuwapeleka majeruhi hospitali na kutoa magari yaliyosababisha ajali hiyo,kwa taarifa za awali inasemekana Dereva wa lori hilo alikimbia mara baada ya kutokea ajali hiyo,millardayo.com inaendelea kufatilia kwa undani kuhusu ajali hii.

Hizi ni baadhi ya picha hizo.

IMG-20140321-WA0003

IMG-20140321-WA0001

IMG-20140321-WA0004                                  Miongoni mwa majeruhi wa ajali hiyo wakikimbizwa hospital.

IMG-20140321-WA0005

IMG-20140321-WA0007

IMG-20140321-WA0008

IMG-20140321-WA0012

IMG-20140321-WA0011

IMG-20140321-WA0010

IMG-20140321-WA0009

Tupia Comments