Habari za Mastaa

VIDEO: Magwea wa Singida aibuka mshindi Supa Nyota

on

Wakazi wa Singida wamemshuhudia mshindi wa Supa nyota atakayeiwakilisha Singida kwenye mashindano makubwa ya Supa Nyota, na kutoka Singida mkali anayejiita Mangwea wa Singida ameibuka mshindi na kupata nafasi ya kuzungumza na Ayo TV.

Tazama hapa chini video, bonyeza PLAY kuona.

VIDEO: LULU DIVA KWENYE JUKWAA LA FIESTA SINGIDA

Soma na hizi

Tupia Comments