on air with millardayo

VIDEO: Akothee kuanzia Udereva Taxi Kenya mpaka muziki na kolabo na Diamond

on

Akothee ni mwimbaji kutoka Kenya ambaye ameanza kupita mbele ya macho ya Watanzania kutokana na wimbo aliomshirikisha Diamond, Akothee alikuja Tanzania na kufanya hii Interview na Mtangazaji Millard Ayo, tazama hii video hapa chini..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments