Habari za Mastaa

Huu ndio ugeni wa Rapper AKA kutoka South Africa na mpenzi wake DJ Zinhle…

on

GIL

Rapper wa Afrika Kusini AKA aliwahi kuja TZ na kupiga show ya nguvu kwenye Zari All White Party.. hapo jina lake likaingia kwenye headlines kubwa hata ambao walikuwa hawamfahamu wakamjua pia.

Leo jamaa atakuwa happy sana aisee, yeye na mpenzi wake ambae ni DJ maarufu South Africa, DJ Zinhle wamefanikiwa kupata mtoto wa kike muda mchache uliopita katika hospitali ya Mediclinic Sandton iliyopo Johannesburg, Afrika Kusini.

.

.

AKA ameshare picha kwenye ukurasa wake wa @Instagram akimwonesha mtoto wake huyo huku nyingine akionekana akiwa amevaa nguo zinazoonesha yuko ndani ya Chumba maalum ndani ya Hospitali ambapo wanawake wanajifungua.

.

Dj Zinhle akiwa kazini.

AKA in Dar

Rapper AKA alipotua Uwanja wa Ndege Dar es Salaam April 29 2015.

Unaweza ukaangalia hii video jinsi Dj Zinhle akifanya yake

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments