Top Stories

Akamatwa akimchezea Mtoto sehemu za siri, Polisi wasimulia (+video)

on

Polisi Mkoa wa Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima mkazi wa Mlandizi kwa kosa la kumdhalilisha Mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miaka mitatu (Jina limehifadhiwa) kwa kumchezeachezea sehemu za siri.

“Tarehe 16/9/2021 majira ya saa 10 jioni huko kitongoji cha Kaloleni, kata ya Janga, Wilaya ya Mlandizi mkoa wa Pwani mtuhumiwa alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea chezea sehemu za siri mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa Chekechea”——— Wankyo Nyigesa, RPC Pwani.

Soma na hizi

Tupia Comments