AyoTV

Maajabu ya jinsi mtoto wa miaka minne alivyoookolewa na Paka baada ya kunga’twa na mbwa wa jirani

on

Screen Shot 2014-05-15 at 5.53.26 PMYani hii imehuzunisha watu wengi sana kwa jinsi mtoto alivyovamiwa lakini ikawapa furaha baadae baada ya paka aitwae Tara kutokea na kumuokoa huyu mtoto ambae wanaishi nyumba moja huko California Marekani.

Hata hivyo mtoto huyu aliepatwa na mkasa huu akiwa anacheza nje ya nyumba yao anaendelea vizuri baada kutibiwa jeraha hilo la Mbwa wa jirani ambapo baadae alipelekwa hospitali na kutibiwa majeraha hayo madogo ya mguuni.

Screen Shot 2014-05-15 at 9.51.05 PMUnaweza kutazama video yenyewe hapa chini.

https://www.youtube.com/watch?v=bbEnGoqFnko

Unapenda chochote kinachonifikia kisikupite? jiunge na mimi twitter kwa kubonyeza HAPA pia facebook na Instagram kwa kubonyeza FB na INSTA ili nikutumie kila kitu, kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi.

Tupia Comments