Habari za Mastaa

Picha 25 za show ya Young Dee,Young Killer na Country Boy Maisha Club.

By

on

Image00025Usiku wa kuamkia March 24 Mtu Chee walifanya show yao pale Maisha Club show hii waliipa jina la Akili za usiku ilikua ni show ya kwanza kuwepo Young Killer,Young Dee na Country Boy na kwa pamoja wakaperfoam wimbo wa Akili za Usiku.

Image00011Miongoni wasanii waliokuwepo na kuperfoam usiku huo ni pamoja na Dogo Janja,God zilla,Mwana Fa,Young Dee,Young Killer na Country Boy,show hii ilipata sapraiz ya mwanadada kutoka kiwanda cha filamu Bongo Jacquline Wolper ambaye aliimba wimbo wa Fununu pamoja na Young Dee.

Hizi ni baadhi ya picha.

Image00024

Image00023

Image00022

Image00021

Image00020

Image00019

Image00018

Image00017

Image00016

Image00015

Image00014

Image00010

Image00011

Image00012

Image00013

Image00009

Image00008

Image00007

Image00006

Image00002

Image00003

Image00004

Image00005

Image00001

Tupia Comments