Michezo

Al Ahly imepata ushindi club Bingwa Dunia ikiwakosa wachezaji 15

on

Club ya Al Ahly jana imecheza mchezo wake wa kwanza club Bingwa Dunia dhidi ya Monterrey ya Mexico na kushinda 1-0 lilofungwa na Mohamed Hany dakika ya 53.

Kitu ambacho hujui Al Ahly wamecheza mchezo huo wakiwakosa wachezaji wao 15 muhimu, saba kati ya hao wako Cameroon kwa ajili ya AFCON na Timu yao ya Taifa ya Misri inayocheza fainali leo dhidi ya Senegal na nane ni majeruhi.

Wachezaji waliokosekana ni Mohamed El-Shennawy, Ayman Ashraf, Badr Banoon, Akram Tawfik, Ahmed Kouka, Percy Tau, Hossam Hassan, Hamdi Fathy, Amr El-Soliya, Salah Mohsen, Mohamed Mahmoud, Mohamed Sharif, Mohamed Abdel Moneim, Mahmoud Waheed.

Soma na hizi

Tupia Comments