Michezo

Al Ahly yatenga Tsh Bilioni 6 kumtoa Sirino, Mamelod

on

Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari Afrika club ya Al Ahly ya Misri imeripotiwa kufikia makubaliano na Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini kuhusu uhamisho wa mchezaji Gaston Leandro Sirino wa Uruguay.

Mamelona Al Ahly wameafikiana kwa dau la dola milioni 3 (Tsh Bilioni 6.9) na atasaini mkataba wa miaka mitatu kuwatumikia Mabingwa mara 42 wa Misri.

Sirino anataka kuondoka Mamelod Sundowns baada ya kupata ofa nono lakini kinachomvutia zaidi ni kwenda kuungana na kocha wake wa zamani Pitso Mosimane.

Soma na hizi

Tupia Comments