AyoTV

VIDEO: Alikiba alivyokwenda Vanity Night Club Pretoria South Africa

on

Ni Mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba ambaye amemalizia ziara yake ya South Africa ambako amefanya show, Interview za Radio na TV pamoja na Appearance ambapo usiku uliopita alikwenda kwenye night club ya Vanity Pretoria, tazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Tazama Alikiba alivyohojiwa Redioni na Dj Sbu Johannesburg South Africa

Soma na hizi

Tupia Comments