Madaktari Bingwa wa Kinywa na Meno kutoka kwenye mikoa tofauti Tanzania wengine kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, wameamua kuitumia taaluma yao kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi (Albinism), kusikia na kuona kituo cha Buhangija Shinyanga 87.5, zaidi ya watoto 40 wamefanyiwa huduma ya kung’olewa meno yenye matatizo, ripota wa millardayo.com kanisogezea picha za Madaktari wakati wa zoezi karibu kuzitazama.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTERFBYOUTUBE