Habari za Mastaa

Album ya Rapper Drake yaandika rekodi hii kubwa ya mauzo

on

NI Headlines za staa mwenye uraia wa Canada, Drake ambae time hii ameingia katika vichwa vya habari baada ya album yake ‘Certified Lover Boy’ kufikia kiwango cha Double Platinum.

Kwa mujibu wa ripoti inaelezwa album hiyo imefanikiwa kuingia kwenye rekodi ya kuuza jumla ya nakala Milioni mbili nchini Marekani na album hiyo iliachiwa rasmi Septemba 3, 2021.

VIDEO VIXEN WA HARMONIZE AFUNGUKA “ALINITOA KAHAMA, AMENIFUNGULIA NJIA”

 

 

Tupia Comments