Habari za Mastaa

Album ya Drake yaendelea kupeta katika charts za Billboard

on

Ni Headlines za mkali kutokea nchini Marekani Drake ambae tangu aiachie album yake ‘Certified Lover Boy’  imekuwa ya kwanza kwa mwaka huu kushika namba 1 ndani ya wiki mbili kwenye chart za Billboard 200.

Album hiyo ilishika namba 1 katika chart hizo mwezi Septemba 12, 2021 ikiwa ni wiki moja tu iachiwe hewani.

MIUNO YA ANJELA WA KONDE GANG, SHABIKI AMBAMBIA UWANJA WA UHURU 

SIMBA DAY: CHOLO ATOA KAULI “NDUGU WAANDISHI WA HABARI” BAADA YA KUPEWA MIC SIMBA DAY

Soma na hizi

Tupia Comments