Habari za Mastaa

Album ya Mtayarishaji S2kizzy yafikia asilimia 90% kukamilika

on

Ni Headlines za Mtayarishaji kutokea kwenye kiwanda cha muziki nchini, S2kizzy ambae ametangaza kuwa maandalizi ya album yake mpya yamefikia katika hatua za mwisho za kukamilika.

Staa huyo aliujulisha umma juu ya taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa instagram na kuandika..”Album 90%…… ALL MY ENERGY AND SOUL IN HERE” – Skizzy

Mpaka sasa mtayarishaji huyo ameshaweka Rekodi mbalimbali ya kufanya kazi na wasanii wakubwa kutoka ndani ya Tanzania hata kimataifa.

PRODUCER S2KIZZY ATOBOA SIRI “HARMONIZE, DIAMOND NI WASHIKAJI, WHOZU NA TUNDA HAWAJAACHANA”

 

MWIJAKU ATINGA KWA HARMONIZE, AJITAMBA “NIMEFUATA KODI, MAMBO YAENDE NINA FAMILIA, TAJIRI”

 

Tupia Comments