Habari za Mastaa

PICHA 10: Alikiba yupo Johannesburg South Africa… hivi ni vitu unatakiwa kujua

on

Mwimbaji staa wa Bongofleva AliKiba yuko Johannesburg South Africa kutia wino kwenye dili zake jipya ambazo zitaishuhudia bongofleva ikikaa kwenye headlines nyingine 2016.

Kuna mambo mapya saba makubwa ambayo yatatangazwa ndani ya saa 48 kuanzia leo May 19 2016 kutokea hapa Johannesburg ikiwa ni hatua kubwa kwake kuwahi kuipiga kwenye muziki.

.

Johannesburg

Baada tu ya kuwasili Johannesburg Alikiba alialikwa kwenye duka maarufu la kuuza vifaa vya muziki Afrika Kusini linalomilikiwa na raia wa South Africa ambaye ni shabiki wa Alikiba na akampa golden chance ya kuchukua bure kitu chochote atakacho kutoka kwenye hilo duka akiwa ameambatana na Meneja wake Seven na Watangazaji Millard Ayo na B12 wa CloudsFM.

.

Alikiba, meneja wake Seven na Mtangazaji wa XXL  ya  Clouds FM B12

.

Alikiba kwenye mahojiano

3X6A0175

.

Alikiba akipewa maelekezo ndani ya duka hilo la muziki.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

UKITAKA KUMTAZAMA KWENYE VIDEO AKIWA SOUTH AFRICA BONYEZA PLAY KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments