Michezo

TETESI: Real Madrid wamekubali Ronaldo aondoke

on

Zikiwa zimepita siku kadhaa toka staa wa soka wa Real Madrid na Ureno Cristiano Ronaldo kuanza kuhusishwa kuwa kuna uwezekano akaihama club hiyo baada ya kukosekana katika picha za jezi mpya za timu hiyo.

Leo July 3 2018 zimeripotiwa taarifa mpya kuwa club ya Real Madrid imekubali ombi la Cristiano Ronaldo la kutaka kujiunga na club ya Juventus ya Italia ili kuitumikia msimu wa 2018/19.

Ronaldo akijiunga na Juventus atakuwa analipwa mshahara wa euro milioni 30, uvumi huo unazidishwa zaidi na taarifa za Neymar kuwa ndio nyota mpya wa Real Madrid kama Ronaldo ataondoka.

Haji Manara kapenda usiku wa VPL ila kafunguka wasiwasi wake

Soma na hizi

Tupia Comments