Mix

Dunia imepata msiba wa Bondia wa zamani wa Marekani Mohammad Ali

on

Bondia wa zamani ambaye alijiita ‘the greatest’ ambaye alikuwa ni miongoni mwa watu maarufu na wenye wapenzi wengi duniani, Mohammad Ali amefariki akiwa na umri wa mika 74 kutokana na tatizo katika mfumo wa upumuaji.

Bingwa huyo wa dunia wa uzani wa juu wa zamani alilazwa hospitalini toka siku ya alhamisi June 02 2016 kufuatia tatizo kwenye mapafu, Bondia huyo mbali na kupatwa na tatizo hilo alikuwa akiugua kiharusi. Ali alipatikana na ugonjwa wa Parkinson mwaka wa 1984 baada ya kustaafu ngumi za kulipwa . 

ULIIKOSA KAULI YA SAMATTA KUHUSU MCHEZO DHIDI YA MISRI LEO JUNE 4 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments