Habari za Mastaa

Picha12 za Muhammad Ali kuanzia siku ya kwanza alipoitembelea Afrika.

on

Wakati saa chache zimebaki kabla ya kuzikwa bondia maarufu Muhammad Ali huko Marekani, kuna hizi picha zake za miaka hiyo wakati alipoitembelea Afrika, ziara yake ya kwanza kuja Afrika ilikua ni mwaka 1964 na alianzia Ghana.

Moja ya nukuu zake kuhusu Afrika ni hii >>>Nataka kuiona Afrika na kukutana na Kaka na dada zangu

m2

Nukuu nyingine ya Muhammad Ali baada ya kuja Afrika >>> ‘Nafuraha kuwaambia watu wangu kwamba kuna vitu vingi vya kujionea Afrika zaidi ya Simba na Tembo, hawakuwahi kutuambua kuhusu vitu vizuri vya Afrika kama Vyuo, Hospitali, Maua mazuri’

m3

Nigeria

m6

Muhammad Ali alipoitembelea Misri.

m4

m7

Alipoitembelea tena Misri mwaka 1986 akiwa tayari amebadili dini na kuwa Muislamu.

m9

Kiongozi wa Zaire enzi hizo Mobutu Sese Seko akiwa kwenye picha na watu wengine akiwemo Muhammad Ali ambapo kiongozi huyu aliandaa pambano na kukubali kumlipa kila mpambanaji kwenye pambano aliloandaa kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 5 kila mmoja.

m11

Pambano lililoandaliwa Congo DRC enzi hizo Zaire

m12

Alipoitembelea Sudan mwaka 1988

m10

m13

Mwaka 2005 Muhammad alikutana kwa mara ya kwanza na rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela

m8

Kinshasa mwaka 1974

ULIIKOSA YA WASTARA AKIELEZA KWANINI NDOA YAKE IMEVUNJIKA NDANI YA SIKU 80? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments