Magazeti

Kutana na Mrembo Alice kwenye uchambuzi wa Magazeti May 09 2016

on

AyoTV inakuletea uchambuzi wa magazeti May 09 2016 ambapo mtangazaji leo ni Alice Tupa, miongoni mwa mwa habari zilizochukua headline kwenye magazeti ya Tanzania ni pamoja na hizi..

Sera ya Viwanda ya JPM yapata vikwazo vinne, Sera ya Rais Magufuli ya kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya Viwanda inakabiliwa na vikwazo vinne ambavyo visiporekebishwa inaweza kuyeyuka, wachambuzi wa masuala ya viwanda wameonya.

Mapya yaibuka sakata la sukari, yaingizwa nchini ikitokea Kenya, shehena tani 40 yakamatwa, wabunge wahusishwa.

JK COMEDIAN: Utani kuhusu video ya ‘chura’ iliyofungiwa, mtazame kwenye hii video hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

 

Soma na hizi

Tupia Comments