Michezo

Alichoandika Michael Carrick baada ya kutemwa timu ya taifa England

on

carrick_1716041aMuda mchache baada ya kocha Roy Hodgson kutangaza kikosi cha timu ya taifa ya England kitakachokwenda Brazil mchezaji wa klabu ya Manchester United aliyeachwa Michael Carrick ameandika ya moyoni kwenye page yake ya Twitter.

Carrick ambaye ameachwa na nafasi yake kuchukuliwa na kiungo Jordan Henderson wa Liverpool, amesema michuano ya kombe la dunia ina upekee, amehuzunishwa na uamuzi wa kocha kumtema kwenye kikosi ambapo pamoja na yote yaliyotokea anawatakia England kila la heri.

carrickUnataka stori kama hizi ziwe karibu na wewe kila wakati mtu wangu? jiunge na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA kujiunga na mimi facebook bonyeza HAPA & instagram HAPA

Tupia Comments