Top Stories

Alichofanya Rais Magufuli leo Ikulu Dodoma (+video)

on

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo ameongoza kikao cha baraza a mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

INASIKITISHA: KIFO CHA MATESO CHA MTOTO, WATU 23,000 WALIFARIKI, MISHIPA KUPASUKA

Soma na hizi

Tupia Comments