Top Stories

Alichofunguka Miss Tanzania kwa mara ya kwanza baada ya kushinda taji la Umiss

on

Ni Usiku wa Mei 20, 2022 ambapo Halima Kopwe (23) kutokea Mtwara alitangazwa kuwa Miss Tanzania 2022 akichukua taji hilo kutoka kwa Rose Manfere Miss Tanzania 2021, zawadi atazopewa Halima ni gari aina ya Mercedez Benz na Tsh. Milioni 10.

Unaweza ukabonyeza play kufahamu alichokizungumza baada ya kutwaa ushindi huo.

 

Tupia Comments