Habari za Mastaa

Alichokifanya Harmonize kwa Madam Ritha baada ya kumuita kwenye jukwaa Dodoma (video+)

on

Tamasha la Serengeti Music Festival 2022 lilifanyika kwa siku ya pili mfululizo usiku wa kuamkia leo ambapo miongoni mwa Wakali walio-perform ni Harmonize ambae alimpandisha Madame Rita na kumshukuru.

“Kila nilichopitia ndio kimenifanya nikawa Konde Boy, nataka nimelete kwenu Mlezi wa Vijana wengi sana, hata mimi pia namuita Mama yangu Mzazi, sio lazima Mtu akusaidie kwa kukwambia ndio, hata akikwambia hapana anaweza kuwa amekusaidia” ——— ni maneno aliyoyasema Harmonize kabla hajampandisha kwenye stage Madame Rita.

Tupia Comments