Habari za Mastaa

Alicia Keys na Swizzbeatz watimiza miaka 11 ya ndoa yao

on

NI headlines za mtayarishwaji mkongwe kutokea nchini Marekani, Swizzbeatz ambae time hii anamiliki vichwa vya habari na mkewe Alicia Keys kwa kutimiza miaka 11 ya ndoa yao.

Staa huyo amethibitisha taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo amesema wamefanya kufurahia kitu kama hicho kwenye maisha yao kwa takribani masaa 72 akiwa na mkewe Alicia Keys.

Swizzbeatz kaandika…’72 hour date trip dump Zaaaaa. Celebrating our 11yr anniversary month all month πŸ™ŒπŸ½ Them Deans πŸŽ‰πŸŽ‰ The fact we haven’t been back to the house in Corsica we got married at 11yrs ago until now is crazy !!!! Time goes by fast make every moment count EID MUBARAK 🀲🏾’-Swizzbeatz

VANESSA MDEE AJITOKEZA APINGA WANAOMSEMA KAPATA MTOTO ADAI WANAMPANIKISHA MAMA YAKE

Tupia Comments