Top Stories

Alieambiwa na Rais Samia ukinizingua tutazinguana, afunguka (video+)

on

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC ), Kaimu Abdi Mkeyenge aliewahi kuingia kwenye vichwa vya habari baada ya Rais Samia kumwambia ukinizingua tutazinguana.

leo hii amekaa kwenye mahojiano na Ayo TV & Millardayo.com kueleza yale tusiyoyajua.

KENANI ASHUSHA KIBANO KWA WAHUDUMU WA AFYA KAHAMA, ATAKA MAELEZO KWA ‘DMO’ “WANATOA LUGHA CHAFU”

Soma na hizi

Tupia Comments