Top Stories

Aliedaiwa kupata chanjo ya Corona kisha kushindwa kuongea katika mkutano afunguka “Nilikuwa sijala”

on

Sospeter Mosewe Bulugu ni Kijana wa Kitanzania ambaye ni Kamishna wa Afya na Mazingira Taasisi za Elimu ya Juu nchini TAHLISO, ambapo kuanzia Agosti 12, 2021 amekuwa gumzo kutokana na tukio lililompata wakati wa Mdahalo kuhusu UVIKO-19/ COVID-19 ambapo alishindwa kuongea.

Mengi yamesemwa kuhusu yeye ikiwemo suala la kwamba amepata Chanjo ya COVID-19 ndio maana akaweweseka akiwa anahutubia, lakini amezushiwa hadi kifo.

Ukweli wote ni huu hapa amezungumza na Ayo TV unaweza ukabonyeza play kufahamu alichozungumza.

RAIS AAGIZA WATAKAOCHOMWA CHANJO WALIPWE DOLA 100, WENGINE KUPIMWA

Soma na hizi

Tupia Comments