Top Stories

Aliefanya fujo na alievunja na kuiba wazungumzia maisha ya gerezani (+video)

on

Jumla ya Wafungwa 252 Mkoani Kigoma wameachiliwa huru kupitia msamaha wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli huku wakiahidi kuwa wazalendo wa Nchi.

Wakizungumza mara baada ya kuachiwa huru baadhi yao wamesema maisha ya jela yamekuwa sehemu ya Chuo kwa kutoa elimu na kwamba watakuwa sehemu ya kutoa elimu kwa watu  wengine ili kuepukana uhalifu na kufanya kazi za maendeleo.

MUUAJI ATOKA GEREZANI KWA MSAMAHA WA MAGUFULI “NILIPIGANA DISCO, DAMU IKAVUJIA NDANI”

Soma na hizi

Tupia Comments