Top Stories

Aliekuwa Boss MSD kufikishwa Mahakamani leo

on

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Makao Makuu kwa kushirikiana na ofisi ya Taifa ya mashitaka, leo itawafikisha Mahakamani aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa Tanzania (MSD), Laurian Bwanakunu na wenzake kujibu mashtaka ya kuisababishia Serikali hasara, matumizi mabaya ya madaraka na utakatishaji fedha
haramu.

LIVE: TAZAMA RAIS MAGUFULI “HATA CORONA INGEKAA MIAKA KUMI”

Soma na hizi

Tupia Comments