Top Stories

Aliekuwa RC Mbeya Mwakipesile afariki dunia

on

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwenye Serikali ya awamu ya nne, John Mwakipesile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne Agosti 17, 2021.

Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Ismail Mlawa amethibitisha kifo hicho na kusema wamepokea taarifa za msiba huo kwa masikitiko makubwa.

“Tumepata taarifa na sasa naelekea nyumbani kwa marehemu kujua taarifa zaidi na nitaweza kukuunganisha na familia ya marehemu kwani mimi sio mzungumzaji wa familia” Mlawa.

WIZARA “GWAJIMA ATHIBITISHE HUO UZOMBI, ANAHATARISHA MAISHA TUTAMSHUGHULIKIA”

Soma na hizi

Tupia Comments