Top Stories

Aliemmiminia mwenzie Risasi na kujiua alivyokuwa akijifunza kutumia Bastola (Video+)

on

Miongoni mwa story ambazo zimegusa hisia za Watu wengi Weekend hii ni ya tukio la Mtu kupigwa risasi akiwa Baa Sinza kwa Remi Dar es salaam usiku wa July 17 2021.

Kijana Alex maarufu Simba amemuua kwa kumpiga risasi Kijana anayeitwa Gift na kisha na yeye akajiua kwa kujipiga risasi wakiwa kwenye Baa hiyo.

 

USIYOYAJUA KUHUSU ALIYEJIUA KWA BASTOLA “NI MTUNZA FEDHA WA WAIGIZAJI, ALIKUWA NA AKILI YA ZIADA”

Tupia Comments