Top Stories

Alieuwawa kwa shoka azikwa, vilio vyatawala, Muuaji ‘atanyongwa au kufungwa” (+video)

on

Mwili wa Mary Mushi anaedaiwa kuuawa kwa shoka na Mume wake Moses Pallangyo kwa madai ya wivu wa mapenzi katika kijiji cha Kilinga Wilayani Arumeru, Arusha umezikwa.

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kwenye msiba huo amesema Ofisi yake itamsomesha bure Mtoto aliyeachwa na Marehemu.

JENGO LA CCM LA MIKUTANO LIMETEKETEA KWA MOTO, KATIBU AONGEA

Soma na hizi

Tupia Comments