Top Stories

Aliewataja walioficha madini awataka awataka wachimbaji wachangie Milioni 200 (+video)

on

Afisa Madini Mirerani Daudi Ntalima aliye-trend kwa kuwataja watu 25 walioficha madini ndani leo amewageukia Wachimbaji wa madini na kuwataka kuchangia Million 200 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili kusaidia kupunguza upungufu uliopo nakusema sheria ya uchangiaji ipo.

“WANAFUNZI MKATAE LIFT IPO SIKU NA NYIE MTAOMBWA” KATIBU MAKUNGU

Soma na hizi

Tupia Comments