Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: ‘Cinderella’ ya Alikiba iliuza Mil. 200, matumizi je? swali la ‘Kidoti’? Haupendi wimbo wake? Majibu haya..
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
September 21, 2023
Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini
September 21, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > ‘Cinderella’ ya Alikiba iliuza Mil. 200, matumizi je? swali la ‘Kidoti’? Haupendi wimbo wake? Majibu haya..
Habari za Mastaa

‘Cinderella’ ya Alikiba iliuza Mil. 200, matumizi je? swali la ‘Kidoti’? Haupendi wimbo wake? Majibu haya..

November 12, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Kwenye show ya XXL alhamisi ya November 12 2015 mgeni aliyealikwa alikuwa ni Alikiba ambaye alikuja kuzindua mdundo wa ngoma mpya ambayo wameshirikiana na Christian Bella… lakini kuna story za zamani hivi nazo ziliguswa pia.

Unajua Alikiba akiisikia ngoma ya ‘Usiniseme’ anakumbuka wapi? >>> ‘Nakumbuka safari zangu kwenda G Records, ilikuwa ni lazima niende nikashinde na Producer wangu KGT kila siku hata kama sina kazi‘

Ana mpango wa kuachia album? >>> ‘Nitatoa album mwakani kwa mfumo wa digital nikimpata msambazaji mzuri… nataka kufanya album kali sio nijaze tu nyimbo kwenye album… nakumbuka album ya kwanza niliyonunua ilikuwa album ya AY, halafu nikanunua ya Matonya… ni kuonesha tu kwamba najali muziki…’

Ali K II

Alikiba aliachia album ya Cinderella mwaka 2009, anajiona wapi toka mwaka huo >>> ‘Najiona kama kiwango changu kimekua sana… sipendi wimbo wa ‘Shababi’ kwa sababu najiona niliimba chini ya kiwango‘

Ali Kiba II

Mauzo ya Cinderella je? Matumizi yake? >>> ‘Cinderella ilivunja rekodi na sijawahi kusikia kama kuna album nyingine iliwahi kuizidi mauzo… iliuza nakala milioni mbili, kila copy nilikuwa nachukua shilingi 200… jumla inakuwa kama Mil. 200 hivi sema wakati ule utoto mwingi ila nilifanikiwa kujenga.’

Ali K III

Presenter wa XXL, Adam Mchomvu akachomekea swali kuhusu Kidoti, majibu yaliyotoka ni haya hapa >>> ‘Mjasiriamali, bishosti kanyooka, yuko fresh… yap… full stop‘- Alikiba.

Sauti ya Alikiba hii hapa niliyorekodi show ya XXL leo November 12 2015….

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM, TWITTER, FB, YOUTUBE

You Might Also Like

Diamond na Jux wanusurika kifo kwenye lift ya ghorofa

Str8upvibes wameungana na Everthing Dope TZ kumleta mkali wa kwenye ‘Young, Famous and African’

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

TAGGED: Ali Kiba
Millard Ayo November 12, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kabla mabasi ya mwendokasi hayajaanza uyajue haya, ukifanya uzembe unalipa !!
Next Article Baada ya Ronaldo kutaja Top 5 ya wachezaji bora,Pique ametaja first 11 ya Dunia, Ronaldo yumo? …
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
Magazeti September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
Top Stories September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
Top Stories September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
Top Stories September 21, 2023

You Might also Like

Top Stories

NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa

September 22, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023

September 22, 2023
Top Stories

Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini

September 21, 2023
Top Stories

Mabingwa wenye bidhaa za kielectronic ‘Haier’ leo wametangaza habari hii njema mbele ya Waandishi wa Habari

September 21, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?