Habari za Mastaa

Kaa tayari kuipokea zawadi siku ya ‘boxing day’ kutoka kwa Alikiba December 26 Dar es Salaam..

on

Star wa muziki Bongo, Alikiba a.k.a ‘King Kiba‘ ambaye siku chache zilizopita ameachia ngoma yake na mkali wa masauti, Christian Bella amekuja na good news ambayo ni zawadi tutakayoipokea December 26 2015 siku ya boxing day !!

IMG-20151221-WA0026

Tumeona post nyingi za Alikiba akiwa kwenye show nje ya TZ, ikiwemo Ulaya na Marekani, Alikiba kaona zawadi yake ya Christmas atashare na Wana-Dar es Salaam wa nguvu.. zawadi yenyewe ni show ya nguvu pale Escape 1, mzigo wake utakuwa nonstop kwenye stage yeye pamoja na bendi yake.

ALI KIBA II

Najua hakuna mwenye wasiwasi na ukali wa Alikiba akiwa na kikosi cha bendi yake kwenye stage, basi December 26 2015 ni muda wake kukushukuru shabiki wake wa nguvu pale Escape 1 kwa burudani ya nguvu.

Mzigo mpya wa Alikiba & Christian Bella ndio huu hapa kwa mara nyingine, ngoma inaitwa ‘Nagharamia

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments