Habari za Mastaa

PICHAZ kumi za Behind the scenes ya video mpya ya Ali Kiba ndani ya South Africa

on

11379088_516569745163009_315077195_n

Ali Kiba staa mwingine mkali wa muda mrefu kwenye Bongo Fleva… Hit ya Chekecha Cheketua ni moja ya ngoma ambazo mtaani wanaisubiri video yake kwa hamu sana.

Nakumbuka Abdu Kiba aliwahi kusema kwamba kazi ya video ya wimbo huo itafanywa Afrika Kusini… hizi ni dalili kwamba video mpya ya Ali Kiba itakuwa on air muda wowote japo katika post zake hajasema video anayoshoot ni ya wimbo gani.

PICHAZ ambazo Ali Kiba ameanza kuzishare mfululizo kwenye ukurasa wake @Facebook ni hizi.

Ali Kiba II

Hii ilikuwa post ya kwanza aliyoweka Ali Kiba kabla ya kuanza kupost pichaz hizo.

Ali Kiba

11350568_976872012336270_2707229765011132660_n

11351812_1663090943927055_344829160_n

11391298_976876112335860_7242710990353253583_n

11390285_976875359002602_5456705516142548614_n

11393363_976889109001227_6928628514323594063_o

11401449_976872459002892_5629088297074059637_n

11401567_976888845667920_3863482029509408961_n

11403191_976874749002663_6941292317661631586_n

11425447_976877192335752_4088390392263843761_n

 

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments