Habari za Mastaa

Ali Kiba kashtukiza watu leo kwa kuamua kupanda daladala kukutana na mashabiki!

on

Staa wa Muziki TZ  ambae usiku wa June 13 2015 aliingia kwenye headlines kubwa baada ya kuibuka na ushindi wa jumla ya Tuzo SITA kuonesha jinsi ambavyo watu wake mtaani wamemkubali kwenye ujio wake mwingine baada ya kimya cha muda mrefu.

Ali Kiba ni mshindi pia wa Tuzo za Watu 2015 kwenye nafasi ya msanii wa kiume anayependwa.. YES, niko nae leo tena.. kaingia zake mtaani na akaona njia poa ya kukutana na watu wake ni kuingia katika daladala na kupiga story na kila shabiki wake wa nguvu aliyekutana nae humo.
Screen Shot 2015-06-23 at 5.42.34 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 5.42.42 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 5.42.50 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 5.42.57 PM


Screen Shot 2015-06-23 at 5.43.12 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 5.43.20 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 5.43.29 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 5.43.37 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 5.43.44 PMScreen Shot 2015-06-23 at 10.22.24 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 10.22.34 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 10.22.43 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 10.22.51 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 10.22.59 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 10.23.11 PM

Screen Shot 2015-06-23 at 10.23.51 PMUnahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments