Mix

Kwa mara nyingine ni Ali Kiba na watu wake ndani ya Daladala Dar es Salaam #June242015 (Pichaz)

on

June 23 2015 staa wa Muziki Tanzania, Ali Kiba aliingia kwenye headlines nyingine ambapo kiukweli sio kitu cha kawaida sana kwa mastaa kukifanya… sio kawaida kukutana na staa amepanda daladala, lakini Ali aliona hiyo itakuwa njia poa kuwapa surprise mashabiki wake nao wapate nafasi ya kupiga nae stori mbili tatu !

Surprise ilianza jana na leo imeendelea pia… Safari yake leo ilianzia maeneo ya Kariakoo mpaka Manzese, alafu akaingia kituo kipya cha daladala cha Mawasiliano na safari ikaendelea mpaka Makumbusho.

Screen Shot 2015-06-24 at 3.02.02 PM

Ali Kiba akishuka kwenye daladala

Surprise hii haikwenda hivihivi mtu wangu, kila daladala aliyopanda watu wote walipata offer ya kulipiwa nauli na Ali Kiba mwenyewe!

Screen Shot 2015-06-24 at 3.01.46 PM

Abiria alikuwa na swali kwa Ali Kiba

Screen Shot 2015-06-24 at 3.02.13 PM

Screen Shot 2015-06-24 at 3.02.23 PM

Daladala iko full aisee, lakini Kondakta aliona asipitwe na chochote kinachoendelea ndani japo ananing’inia mlangoni.

Screen Shot 2015-06-24 at 3.02.31 PM

Screen Shot 2015-06-24 at 3.02.40 PM

Hapa inatafutwa daladala ya kutoka Kituo cha Mawasiliano kwenda Makumbusho

Screen Shot 2015-06-24 at 3.02.50 PM

Screen Shot 2015-06-24 at 3.02.57 PM

Ni kawaida ukipanda daladala za Dar alafu ukakosa siti, lakini story ziliendelea kama kawaida

Screen Shot 2015-06-24 at 3.03.04 PM

Shabiki mwingine wa Ali Kiba aliyeipata nafasi kukaa nae siti moja.

Screen Shot 2015-06-24 at 3.03.11 PM

Screen Shot 2015-06-24 at 3.03.19 PM

Jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments