Habari za Mastaa

Alikiba afikisha wafuasi (Subscribers) Milioni 1, akamata namba 7

on

Ni Headlines za staa kutokea Bongo Flevani, Alikiba ambae time hii anaingia kwenye orodha ya wasanii waliofikisha jumla ya wafuasi (Subscribers) Milioni moja kupitia  mtandao wa Youtube.

Staa huyo anafikisha idadi ya wafuasi hao kwa muda wa miaka saba tangu alipoifungua channel hiyo na kushika namba 7 katika upande wa wasanii wanaotokea nchini Tanzania.

Hapa nimekuwekea orodhaa ya mastaa kutokea Bongo Flevani ambao tayari wameshafkisha Wafuasi Milioni 1 kupitia mtandao huo.

1.Diamond ni Msanii wa kwanza anaongoza kuwa na wafuasi  (Subscribers) Milioni 5.39  tangu alipojiunga 2011

2.Rayvanny ni Msanii wa pili akiongoza kuwa na wafuasi (Subscribers) Milioni 2.99 tangu alipojiunga March 17 2016

3.Harmonize ni Msanii wa tatu akiongoza kuwa na wafuasi (Subscribers) Milioni 2.6  tangu alipojiunga Oct 19, 2015

4.Mbosso ni Msanii wa nne akiongoza kuwa na wafuasi (Subscribers) Milioni 1.7 tangu alipojiunga  Nov 2, 2017

5.Zuchu ni Msanii wa tano akiongoza kuwa na wafuasi (Subscribers) Milioni 1.43  tangu alipojiunga  Jan 29, 2019

6.Lavalava ni Msanii wa sita akiongoza kuwa na wafuasi (Subscribers) Milioni 1.01 tangu alipojiunga May 21, 2017

7.Alikiba ni Msanii wa saba akionjgoza kuwa na wafuasi (Subscribers) Milion 1 tangu alipojiunga  Nov 27, 2014

TAZAMA DIAMOND NA ALIKIBA WALIVYOWAHI KUMUIMBIA ‘MALCOM’ ENZI ZA UHAI WAKE

TAZAMA MAPOKEZI YA SIMBA SC AIRPORT DSM, ZIMBWE AFUNGUKA ‘”MWAKANI TUNACHUKUA TENA”

Soma na hizi

Tupia Comments