Habari za Mastaa

Alikiba afunguka “nimechagua muziki wangu, wife hayupo” (video+)

on

Ni Exclusive Interview nyingine ya Millard Ayo na Alikiba kutoka kwenye AMPLIFAYA ya Clouds FM ambako amezungumza mengi kuhusu muziki wake, Mke wake kutokuwepo, Album yake mpya ya Only One King, muziki wa amapiano na mengine.

NISHA HATAKI KUPOA, AENDELEA KUTIMIZA NDOTO ZAKE, KAZINDUA HILI NA KUFUNGUKA HAYA

Soma na hizi

Tupia Comments