Habari za Mastaa

Alikiba ajiandaa kuwasha moto, katuonesha kionjo cha wimbo mpya ( + Video )

on

Mwanamuziki Staa wa Bongofleva Alikiba amesikia kilio cha mashabiki wake waliokuwa wakidai wimbo mpya kwa Muda mrefu kutoka kwake, aliemtuonesha akiwa studio na kutuonjesha wimbo kidogo ambao huwenda akautoa hivi karibuni.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video

UMEIONA HII..? MADEE KATIKA KARIAKOO NA KUKAMATA WANAOUZA BIDHAA FEKI ZA DOGO JANJA..

 

Soma na hizi

Tupia Comments