Habari za Mastaa

Alikiba alivyofika na gari la kifahari, aonesha mbwembwe zake (video+)

on

Mwimbaji Star wa Bongofleva Alikiba leo amekutana na waandishi wa habari na kuzindua cover ya Album yake mpya inayotarajiwa kuachiwa rasmi tarehe 7 ya mwezi Oct mwaka huu Album hiyo imepewa jina la Only one King ambayo ni album ya 3 kwa Alikiba ikiwa ni baada ya album mbili zalizozitoa miaka zaidi ya 10 iliyopita Alikiba ameahidi kutaja truck list ya kwenye Album hiyo siku zijazo kabla ya uzinduzi .

Video hii nimekusogezea ushuhudie namna alivyowasili katika Mkutano huo wa waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam

MAHABA YA ALIKIBA KWA WEMA SEPETU, AMUIMBIA LIVE HAPPY BIRTHDAY MBELE YA WAANDISHI WA HABARI

 

Soma na hizi

Tupia Comments