Habari za Mastaa

Alikiba alivyozitumia dakika 3 mbele ya Rais Samia huko Mkoani Dodoma

on

Staa wa Bongofleva Alikiba akipeform katika uzinduzi mkakati wa uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu makazi ya mwaka 2022.

Uzinduzi huo unafanyanyika katika uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma.

RAIS SAMIA ANAZINDUA MKAKATI WA UELIMISHAJI NA UHAMASISHAJI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Tupia Comments